Justin Bieber anauliza "What Do You Mean?"

Mwimbaji wa R&B na Pop mwenye asili ya Canada anayefanya kazi ya muziki nchini Marekani amekata ukimya wa muda mrefu kwa kuachia kibao cha "What Do You Mean".

               http://d.ibtimes.co.uk/en/full/1420081/justin-bieber.jpg

Justin Bieber amekuwa kimya kwa muda mrefu tangu aachie ngoma yake iliyokwenda kwa jina la Confident na sasa amerudi kuudhihirishia Ulimwengu wa muziki kuwa bado yupo vizuri.
Maneno yasiwe mengi nimeweka hapa video ya "What Do You Mean" uweze kujionea mwenyewe:


Video hii imewekwa kwenye mtandao wa You Tube siku ya tatu sasa na tayari imeshafikisha watazamaji 9,309,610.
Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment