NEW VIDEO: X-PAYA _ A.E.I.O.U ft. CANTY DIDAS.


X- PAYA ni msanii ambaye kwa mara ya kwanza nimeonana naye BOKAZY E.N.T katika pilikapilika za kutafuta na si kutafuta in such isipokuwa niite 'tulipoonana maeneo yetu ya kujidai'.

Fikra, tafakari zenye manufaa katika muonekano nadhifu na Kutambua nini unafanya nadhani imekuwa hiki hapa katika hii video. Sikumbuki ilikuwa siku gani, nilipokuwa katika interview na huyu jamaa. Via @FlavourZone ya 106.5 FM (Mlimani Radio). Nilimuuliza nini hasa kakiona katika mziki wa HIP HOP kwa maana ya kutaka kufahamu mtazamo na imani yake katika mziki anaoufanya. 
NAKUMBUKA aliniomba anijibu kwa lugha ya kiingereza nami nitafsiri kwa kiswahili kwa ajili ya wasikilizaji. Jibu lake, kwanini anafanya mziki na kwa nini HIP HOP = I AM LOST INTO GOD.
SIKUWA NA SWALI LA ZIADA.

ANGALIA VIDEO YAKE HAPA CHINI AKIWA NA CANTY DIDAS


MAONI.
Facebook: kweli MC / kinasaonlinemedia
Instagram: kweliemcee / kinasaonlinemedia
twitter: kinasaonlinemedia
Share on Google Plus

About KWELI EMCEE