Tyga awajibu kwa mashairi wanaosema mpenzi wake ana umri mdogo.

Ni wiki mbili zimepita tangu Rapa kutoka kundi la Young Money - Tyga amzawadie mpenzi wake Kylie Jenner gari aina ya Ferrari kama zawadi ya birthday. Hii ilitosha sana kudhihirisha kuwa wawili hao wameshibana vilivyo ingawa kuna ambao walibaki kuguna juu ya umri wa Jenner ambaye ndo kwanza amefikisha miaka 18.Kupitia kibao kipya kinachokwenda kwa jina la Stimulated, Tyga maeandika mashairi haya: "They say she too young, I should’ve waited. She a big girl, dog, when she stimulated.” (Wanasema ni mdogo sana, Ningepaswa kusubiri. Lakini ni msichana mkubwa, akiwa kwenye mshawasha"
 Wawili hawa pia waliurarua usiku wa Tuzo za Video za Muziki za MTV (MTVVMA) zilizofanyika wikend hii wakiwa pamoja.
Tyga na Jenner pia wamebusiana kunako video hii ya stimulated; iatazame hapa:
Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment