Happy Birthday Daniela: Jose ChameleoneLeo Novemba 13, mwanamuziki nguli ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Mganda Jose Chameleone ametumia ukurasa wake wa Facebook kuonyesha mahaba yake kwa mkewe Daniela baada ya kuweka picha yake mtandaoni ikisindikizwa na maneno matamu ya kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa.
Nimeweka hapa post ya Chameleone ambayo ameandika kwa lugha ya kiingereza ikitafsiriwa hivi:

"Tumekuwa pamoja kwa miaka mingi tukishiriki furaha, urafiki na zaidi ya yote -UPENDO moja ya zawadi kubwa ambayo hutolewa na Mungu. Daniela mke wangu, rafiki yangu, nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Tunatamani kuona ukiishi maisha marefu sana.
Kwa niaba ya familia ya Mayanja, TeamChameleone na Leone island music tunakutakia heri ya Siku ya Kuzaliwa.
We have been together for Years sharing the Joy,Friendship and above all - LOVE one of the Biggest gifts God gives....
Posted by DR. JOSE Chameleone on Friday, November 13, 2015
Kwa niaba ya MwanaharakatiMzalendo Media ninamtakia Daniela heri ya Siku ya Kuzaliwa.  
Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam