MARIAH CAREY AHAMIA ‘MAZIMA’ KWA BILIONEA JAMES PACKER


Staa wa muziki wa R&B duniani , Ma riah Carey.
New York, Marekani
MAHABA! STAA wa muziki wa R&B duniani , Ma riah Carey ameamua kuhamia moja kwa moja (mazima) kwa mchumba wake mpya ambaye ni bilionea kutoka nchini Australia, James Packer.

Mariah Carey akiwa na mpenzi wake James Packer.Chanzo kinapenyeza ‘ubuyu’kuwa, Mariah ambaye ni mama wa watoto mapacha aliyezaa na Nick Canno na alifikia uamuzi wa kuhamia kwa bilionea James pande za Beverly muda mfupi baada ya kumalizika kwa sherehe za kuwakumb uka wafu (Halloween
Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE