Picha: Mayunga akamilisha Collabo yake na Akon, amtumia model wa Chris brown

Profile photo of sadock
Mshindi wa Airtel Trace Music Star, Mayunga Nalimi amekamilisha Collabo yake na Boss wa konvict Music, Akon huko Hollywood Marekani.
“Nilikua nina siku moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa” Mayunga ameiambia TeamTz “Kwahiyo ilinibidi  nijitume ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri hata bwana Akon afurahi na namshukuru Mungu alifurahi sana”
Video ya wimbo huo ilishootiwa siku hiyo hiyo baada tu ya kumaliza kurekodi.IMG-20151123-WA0010
Mayunga amesema kuwa mrembo aliyetumika kwenye video hiyo ni model mkubwa marekani ambaye pia amewahi kutumika kwenye video ya Chris Brown “Huyo video queen ni mkubwa sana kwani amewahi kufanya video ya Chris Brown kama Main character” Amesema Mayunga

IMG-20151123-WA0009
Hizi ni baadhi ya picha za Behind The Scene ya Video hiyo
IMG-20151123-WA0017
IMG-20151123-WA0013
IMG-20151123-WA0012
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment