NEW HIT: KWELI EMCEE_ NAJITEGEMEA FT KIMBUNGA MCHAWI.

http://mdundo.com/a/12746 

Ni baada ya kuachia wimbo wake wa kwanza ukifahamika kama MEMORY kimshirikisha TODO ONE msanii kutoka BOKAZY E.N.T ukiwa ndiyo wimbo wake wa kwanza tangu alipoanza kurecord na kutambulika kama msanii kupitia miondoko ya HIP HOP mnamo mwanzoni mwa mwaka 2015.

Licha ya nyimbo zilizofuata akiwa ameshirikishwa katika wimbo uliofanywa na BLACK CHISA_ KILA MTAA ndani ya studio za M-TOWN RECORDS. Baadaye safari yake ikabainishwa na wimbo alioshirikiana na KIMBUNGA MCHAWI  katika kubainisha namna ambavyo wananchi na jamii kwa ujumla wanaweza kutumia fursa waliyonayo kama wapiga kura katika kufanya MAAMUZI KWA AMANI katika kumpata kiongozi atakayesikia kilio cha wananchi wake ndani ya TANZANIA. Na uwasilishwaji uliweza kutimia ambapo uchaguzi uliweza kuisha kwa AMANI iliyodhamiliwa.

KWELI EMCEE anakuja na Upya akimshirikisha KIMBUNGA MCHAWI  katika wimbo uliofanywa ndani ya studio maarufu kama BAD MAN RECORDS mkono wake BANX akikwambia NAJITEGEMEA.

Share on Google Plus

About KWELI EMCEE