Navy Kenzo Waingia Kwenye TOP 10 ya Afrika

List ya hit single kuzidi kuongezeka kutoka kiwanda cha Bongo Fleva inazidi kuchukua nafasi kila siku, kwa sasa imekuwa kawaida kwa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva kuingia gharama za kutengeneza video za viwango vya juu ili kuweza kushawish vituo vya kimataifa kucheza video zao.


Hii ni good news nyingine kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, inahusu watanzania Navy Kenzo kuingia katika TOP 10 ya video 10 kali za Afrika na video ya ngoma yao “Kamatia” video ambayo haijafikisha hata mwezi toka imezinduliwa rasmi, video ya “Kamatia” imeingia kwenye TOP 10 ya Trace TV.

Enjoy kwa kuitazama video ya Navy Kenzo “Kamatia”

Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE