Mtandao wa Kijamii wa Pamoja App wenye kukupa uwezo wa kukutana na watu wapya kulingana na mahitaji yako.  Kwa mujibu wa wamiliki wa Pamoja App, wanabainisha kuwa, App hiyo ni ya  kwanza hapa Nchini ikiwa ni ya lugha ya Kiswahili.
“Pamoja App, inawakutanisha watu ambao hawajuani kabisa. Ni nzuri kwani marafiki ukutana pamoja na kufahamiana katika mambo mbalimbali ikiwemo urafiki, Sasa kila mmoja anajiunga  Pamoja App, ili kuondoa upweke.” Wanaeleza wamiliki wa Pamoja App wakati wa tukio hilo lililofanyika katika ukumbi wa High Spirit Jijini Dar e Salaam.
Katika tukio hilo ulikuwa ni usiku wa Bloggers na wadau wengine tukio lililofanyika ndani ya  High spirit Posta jijini Dar e Salaam.  Wadau na Bloggers  walipata kushuhudia shoo fupi ya akina dada wa kuvutia wa kundi la Pamoja Angels  sambamba na kutoa zawadi kwa waliofika usiku huo Pamoja”Tunakukutanisha na watu wa aina yako”
Usiku huo uliodhaminiwa na Fasta fasta na kinywaji cha  Jack Daniels.
Tazama MO tv, kuona tukio hapa:


dsc_0653Wadada wa Pamoja Angels wakionyesha shoo maalum
dsc_0656Wadada wa Pamoja Angels wakionyesha shoo maalum
dsc_0670Wadada wa Pamoja Angels wakionyesha shoo maalum. Walipo wao Pamoja App Ipo. Wakifanya yao 
dsc_0679Wazawadii zikitolewa kwa wadau mbalimbali na kutoka kwa wadada wa Pamoja  Angels wa Pamoja App
dsc_0727Wadau mbalimbali wakiwa kwenye pozi na Pamoja App
dsc_0736Mwanadada wa Pamoja Angels akiwa katika pozi na Pamoja App
dsc_0763Andrew Chale wa Blog ya Modewji Blog akiwa katika pozi na Pamoja App
dsc_0704Mkurungezi Mtendaji  wa Koncept Krantz Mwantepele  akiwa katika pozi na  na Ofisa kutoka Pamoja APP Alsaba Rahman mapema mwishoni wa wiki. 
dsc_0772Msanii wa Kizazi kipya, King Kapita akiwa katika pozi na Pamoja App
 (Picha zote na Modewjiblog)