MH! ETI HIZI NI PICHA ZA PASAKA JAMANI! DILLISH MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRICA AACHIA PICHA ZIKIONYESHA SEHEMU ZAKE ZA KIFUANI

Ikiwa imebaki miezi michache kuelekea kuuanza msimu mpya wa BBA hapo mwezi Agost tarehe 10, bado washiriki wa BBA waliopita wamekuwa wakiendelea kufanya yao mtaani na kuiweka BBA iendelee kukaa akilini mwa watu. Hizi ni picha ambazo bimdada Dilish aliziachea kwenye mtandao ikiwa ni picha za siku ya pasaka.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment