George Tyson alikuwa kwenye mchakato wa kuileta Business TOK

BusinessTOK ni shoo inayozungumzia mazingira ya kibiashara Tanzania ambayo Marehemu George Tyson (Muongozaji wa Bongo Movie na Director wa TV show mboni aliyetutoka hapo jana kwa ajali ya gari) alikuwa anaiongoza. Shoo hii ni mpya na Host wake ni Rosemary Mwakitwange imepata pigo hili na kwa masikitiko makubwa katika BusinessTOK na katika tasnia ya vipindi vya televison wametoa rambirambi kwa familia ndugu na jamaa wa Bwana George Tyson.
View image on Twitter


George akiandaa TV Show Mpya ambayo Mgeni wake alikuwa ni Mtangazaji wa kimataifa Mr.Shaka Sali  Hots wa StraightTalk AFrica huko Marekani. Kipindi hiki bado hakijarushwa hewani. 


Shaka Sali akihojiwa na Host wa BusinessTOK: Rosemary Mwakitwange




Ni wazi kwamba George Tyson alikuwa na makubwa sana na kuleta katika ulimwengu wa vipindi na Tasnia nchini. Watanzania tulikupenda na Mungu alikupenda zaidi. Tunakutakia mapumziko mema na Mungu akulaze mahala pema peponi. #RIPGeorgeTyson
Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment