"It Girl" Lupita Nyongo Yuko Paris Ufaransa kwenye Sherehe za Tunzo za Cannes Film



Sherehe za Cannes Film ni sherehe ambazo hufanyika kila mwaka kwa lengo la kutoa tunzo kwa filamu za kimataifa zinazoshindaniswha katika sherehe hizo. Kwa mwaka huu sherehe hizo za 67 tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo zinafanyika huko nchini Ufaransa katika jiji la Paris zikiwa zimeanza rasmi Jumatano, May 14 na zitamalizika May 24. Filamu ambazo zimebaki kwenye mchuano huo zipo kwenye orodha hiyo hapo chini

ADIEU AU LANGAGE (GOODBYE TO LANGUAGE) Directed by Jean-Luc GODARD


Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment