Lana De Rey atumbuiza
![]() |
| Lana De Rey wa pili kushoto |
Hii ni harusi ambayo imejaa mbwembwe za kutosha na kubaki. Wakizungumza katika jioni hiyo ya maandalizi ya harusi katika hoteli ya Hall of Mirrors huko Versaile jioni ya jana, Kanye na Kim wamethibitisha kuwa watavishana pete huko mjini Florence Italia.
![]() |
| Kanye na Kim |
Ingekuwa ni tamasha la muziki au onesho la aina yoyote, MWANAHARAKATI ingekusihi sana usikose, lakini hii ni shughuli ya watu na Wageni wa nguvu waliopata bahati kutoka pande zote za Ulimwengu watakula keki usiku wa leo. Kutoka ukanda wetu wa Afrika Mashariki mwanadada mwigizaji kutoka Kenya, Lupita Nyongo amebahatika kupata kadi na ameshafika pale Florence.
![]() |
| Hall Of Mirrors-Versaile |
MWANAHARAKATI 360 inakusihi uendelee kuitembelea mara kwa mara ili uendelee kufahamu nini kinaendelea.



0 comments:
Post a Comment