MAJANGA URUGUAY, LUIS SUAREZ KUFANYIWA UPASUAJI WA GOTI, YUKO HATARINI KUKOSA KOMBE LA DUNIA


Out? Luis Suarez could miss the World Cup after it was revealed he needs surgery on a knee injury Nje? Luis Suarez anaweza kukosa fainali za kombe la dunia baada ya kubainika kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji wa goti.
Out? Luis Suarez could miss the World Cup after it was revealed he needs surgery on a knee injury
 Balaa kubwa: Suarez anaweza kukosa mechi zote za hatua ya makundi.
MSHAMBULIAJI hatari wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Luis Suarez yuko hatarini kukosa fainali za kombe la dunia baada ya kugundulika kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji wa goti kutokana na majeruhi aliyoyapata katika mazoezi ya jana jumatano.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment