MSIBA MWINGINE BONGO MOVIE: Mwigizaji Rachel Haule afariki Dunia



Habari  za kusikitisha zimezagaa mjini kuwa muigizaji  wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amesema kuwa  Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Huu ni msiba mwingine kwa Bongo movie ndani ya mwezi huu baada ya kumpotza Adam Kuambiana. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Amen


Chanzo: Bongo movies.com
Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment