Diamond akutana uso kwa uso na Mheshimiwa raisi Kikwete New York

qqqqqqqqqqqqqq

Diamond Platnumz yuko U.S.A kwa show mbalimbali za muziki na Mheshimiwa raisi Jakaya Kikwete yuko katika safari ya kikazi nchini humo pia.
Akiwa ndani ya mji wa Manhattan jijini New York raisi wa wasafi amekutana na raisi wa taifa lake na kama ilivyokawaida ya vijana hakusita kupata picha mbili tatu ambazo alizitupia kwenye mtandao wa Instagram. Shuka nazo aisee
d2

d1

d5
Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment