Mwanamuziki mwenye mafanikio makubwa kunako gemu ya Bongo Flava na Afrika kwa ujumla, NasibAbdul maarufu zaidi kama Dimond, amefanya makamuzi ya kusimulika katika klabu ya All Star Elizabeth New Jersey.
Diamond Platnumz apagawisha New Jersey Marekani
Mwanamuziki mwenye mafanikio makubwa kunako gemu ya Bongo Flava na Afrika kwa ujumla, NasibAbdul maarufu zaidi kama Dimond, amefanya makamuzi ya kusimulika katika klabu ya All Star Elizabeth New Jersey.
0 comments:
Post a Comment