NIGERIA WAFUFUA MATUMAINI YA AFRIKA KOMBE LA DUNIA, WAICHACHAFYA BOSNIA 1-0, ASANTE ODEMWINGIE!


Cool finish: Nigeria striker Peter Odemwingie (left) slots the ball past Asmir Begovic to give his side the lead
 Mshambuliaji wa Nigeria  Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa  Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.
 
BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter  Odemwingie katika mchezo wa kombe la dunia  limeipa ushindi muhimu timu ya taifa ya Nigeria dhidi ya Bosnia.
Kwa matokeo hayo, Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya kombe la dunia
Bosnia walipoteza mechi ya ufunguzi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina 
Back of the net: Odemwingie's low effort goes through the legs of his Stoke team-mate Begovic
 Kitu kambani: Odemwingie  akiwa ametumbukiza mpira nyavuni.
Relief: Odemwingie (left) celebrates his goal with assist-maker Emmanuel Emenike (right)
  Odemwingie (kushoto) akishangilia bao lake baada ya kupokea pasi kutoka kwa  Emmanuel Emenike (kulia).
Centre of attention: Odemwingie is hugged by his team-mates and substitutes after finding the net
 Odemwingie akipongezwa na wachezaji wenzake.
 
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama zilizotolewa ni chini ya 10.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment