HARUSI YA ADAM LEVINE WA MAROON 5 NI LEO

Behati Prinsloo and Adam Levine attend the "Begin Again" premiere

Mwimbaji tishio zaidi katika bendi ya muziki wa miondoko ya pop na rock ijulikanayo kama Maroon 5, Adam Levine siku ya leo anatarajia kuungana na wanandoa kote ulimwenguni, kwani leo ndio yeye na mwanadada mrembo Behati Prinsloo watahalaliswa kuwa mwili mmoja. Mrembo Behati Prinsloo ni mwanamitindo wa Victorias Secret.
Harusi hiyo itafanyika leo katika ukumbi wa Cabo San Lucas, Mexico na mpiga kinanda wa bendi hiyo, Jesse Carmchael ndiye atakuwa Best Man wa Adam. Kama ni mfuatiliajiwa Band hii utaona nyimbo nyingi Adam amekuwa akitawala sehemu kubwa, wimbo kama "Payphone" ni kielelezo tosha.

LOS ANGELES, CA - JANUARY 14:  (L-R) Musicians Matt Flynn. Mickey Madden. Adam Levine, James Valentine, and Jesse Carmichael from the musical group Maroon 5 arrives at the 16th annual Critics' Choice Movie Awards at the Hollywood Palladium on January 14, 2011 in Los Angeles, California.
Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment