MASEBENE YA H- BABA, IMEMGHARIMU LAKI NA NUSU TU!






 Kupitia ukurasa wake wa Facebook star mwenye vipaji vingi nchini Tanzania H-Baba amesema ukweli kuhusiana na gharama zilizomgharimu katika video yake mpya ya "Masebene" itakayotoka hivi karibuni.
H amesema haina haja ya kuongea uongo ama kudanganya Mashabiki wake kwa swala la gharama. Amefafanua kuwa Video Production amepewa bure. Pia ameoneshwa kukerwa na wasanii wengine wanaodanganya kuwa wamefanya video kwa gharama kubwa sana kumbe wamefanyiwa bure, amekiri kuwa video za gharama zipo hata ukitazama zinaonekana ila wengi ni waongo.
Shabiki wa H- Baba kaa mkao wa kumeza kitu cha Masebene kitakuwa kideoni wiki ijayo.
Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment