AUDIO: UMEISIKIA HII YA DIAMOND AKICHANA KWENYE BEAT YA SHOW ME?



Waswahili wanasema "Mjasiri haachi Asili" Diamond Platnumz amedhihirisha hilo baada ya kukumbushia staili yake ya kuchana wakati akihojiwa katika kipindi cha The Hit List kinachorushwa na Choice FM.
Diamond alitumia beat ya wimbo wa msanii Kid Ink ft. Chriss Brown ujulikanao kama Show Me na kuwaacha watangazaji wa kipindi hicho wakiwa wameduwaa.

Sikiliza hapa na ikibidi pakua na fanya kama unashare na washkaji



Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment