KUMBE RIHANNA ANAPENDEZA HATA AKIFUNIKA MWILI WAKE!Siku za karibuni mwimbaji Rihanna amekuwa akivaa nguo ambazo zimekua zikiacha tafrani kwa mashabiki wake na kumfanya kusomeka vibaya machoni mwa wengi. Kitendo hicho kimewafanya hata mapaparazi wengi wasiamini kuwa Rihanna wa mavazi ya nusu uchi ndiye waliyemuona jana katika mgahawa wa Silvano uliopo jijini New York. Rihanna alivaa jinsi ndefu, na blauzi yenye vifungo kama anavyoonekana pichani na kiukweli alipendeza.

Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment