Penzi la Karueche lamnogea Chris Brown: Sikiliza wimbo wake mpya "X" kwa uthibitisho.

Loyal: Chris Brown was seen getting affectionate with his girlfriend Karrueche Tran on Wednesday, as they watched the US take on the Dominican Republic in a basketball game at New York City's Madison Square Garden

Chris Brown ni moja ya wasanii ambao mahusiano yao ya kimapenzi yamekaa sana kwenye vyombo vya habari tangu alipoanza mahusiano na mwanadada Rihana. Sasa hivi Chris Brown amechetuka katika penzi la Karueche, mwanadada ambaye anamkubali Brown hata kabla hajakutana na Rihana. Siku za karibuni mkali wa New Flames alitumia ukurasa wa Instagram kuonesha hisia zake kwa Karueche baada ya kuandika maneno yafuatayo "“need to have this baby and stop playing.”--nahitaji kuwa na huyu mpenzi na kuacha kuchepuka.
Wimbo wake mpya ambao unakwenda kwa jina la X inasemekana amemuimbia mrembo huyo. Usikilize hapaShare on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment