Robin Williams na Kifo kilichomgusa raisi Obama.



 
Kifo cha mwigizaji mkongwe wa marekani, Robin William ambacho kiliripotiwa siku ya jana Jumatatu Tarehe 11 Agosti 2014, kimewagusa wengi hasa wadau wa filamu. Aina ya kifo cha mkongwe huyo ambaye aliwahi kuigiza katika filamu kama Mrs Doughtfire, Good Morning Vietnam , Dead Poets Society na Good Will Hunting ambayo ilimpa tuzo ya Oscar imewagusa wengi baada ya mwili wake kukutwa nyumbani kwake Carlifonia na kuibua hofu kuwa huenda alijiua.
Williams alikuwa akisumbuliwa na tatizo la depression (sonona) na imebainika kuwa tatizo la kukosa hewa asphyxia ndio limepelekea mauti yake.
Williams ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 63 aliwahi kuhusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya.
Raisi Barack Obama kupitia mtandao wa ikulu ya Marekani ametuma salamu zake za rambirambi
"Robin William was an airman, a doctor, a genie, a nanny, a president, a professor, a bangarang Peter Pan, and everything in between. But he was one of a kind.
he arrived in our lives as ana alien - but he ended up touching every element of human spirit. He made us laugh. He made us cry. He gace his immesurable talent freely and generously to those who needed it most - from our troops stationed abroad to the marginalized on our own streets. The Obama family offers our condolences to Robin's family, his friends and everyone who found their voice and their verse thanks to Robin Williams". 
Mrs Doubtfire, Good Morning Vietnam na Dead Poets
Society - See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2014/08/muigizaji-na-mchekeshaji-maaarufu-wa.html#sthash.teR6XEm3.dpuf
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment