VIDEO: "Let Somebody Love You" wimbo wa 2Face Idibia ft. Bridget Kelly ambao unatamba kwa sasa.

http://www.bellanaija.com/wp-content/uploads/2014/06/2face-Feat.-Bridget-Kelly-Let-Somebody-Love-You-BellaNaija-June-2014-600x600.jpg

2Face Idibia ni nyota mkongwe wa Nigeria ambaye amechangia kwa kiwango kikubwa kufika kwa muziki wa Nigeria sehemu ulipo. Katika kupitiapitia nyimbo za mkali huyo, nimekutana na hii aliyomshirikisha mwanadada kutoka nchini Marekani ajulikanaye kwa jina la Bridget Kelly. Wimbo unajulikana kwa jina la "Let Somebody Love You" na ngoma hii ilifanywa mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu wa 2014 ingawa kwa sasa ndio inapata mashiko kwenye vyombo mbalimbali vya Burudani.
Itazame video hiyo hapa, na bila choyo share na mmpenda burudani mwenzako.Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment