AZAM FC YAIKALISHA MBEYA CITY SOKOINE, COASTAL YAWAZIMA MGAMBO MKWAKWANI


Bao la nahodha Aggrey Morris ndiyo ‘sumu’ iliyoimaliza Mbeya City huku Azam FC ikiibuka na ushindi wa bao 1-0.

Licha ya kubwa nyumbani, Mbeya City imeshindwa kuizuia Azam FC baada ya bao hilo moja la Morris lililofungwa kwa mkwaju wa adhabu baada ya Kipre Tchetche kuangushwa nje ya 18.

Mara ya mwisho zimekutaka kwenye uwanja huo ilikuwa ni mechi ya kufunga msimu na Azam FC ikashinda na kubeba ubingwa.

Mjini Tanga, Coastal Union imeshinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Mgambo.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment