Kuwa wa kwanza kuzipata picha hizi za Zendaya

zendaya-teen-vogue-6
Zendaya ni mwanadada mrembo anayechipukia kunako gemu ya muziki wa R&B nchini Marekani. Mwonekano wa mrembo huyo umeweza kumpa dili la kuigiza maisha ya usichana katika muvi ya marehemu Aaliyah ingawa Zendaya alipiga chini dili hilo.
Mwaka huu amepata dili la kulipamba jarida la Vogue kwa mwezi Februari. Katika jarida hilo la TeenVogue Zendaya ametupia mavazi ya kijeshi na picha nyingine mavazi ya kawaida na ametokelezea kinoma.
Picha ziko hapa tayari ni wewe tuu:

zendaya-teen-vogue-16
zendaya-teen-vogue-8-580x435

zendaya-teen-vogue-7-580x435
zendaya-teen-vogue-1-580x435

Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment