Mungu ndiye mpangaji asema Diamond


Diamond_PlatnumzMkali wa muziki nchini Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz,’ amesema Mungu akiamua atamzawadia mtoto.
Nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya alimwambia Mwandishi Wetu kuwa anatamani kuitwa baba lakini anaona mungu ajapanga iwe hivyo kwasasa.
Diamond alisema  “mungu ndiye anapanga kila kitu ninaamini muda ukifika nitabarikiwa kupata mtoto na nitaitwa baba”.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment