Jumatatu hii wakati wanandoa hao wakitazama mechi ya mpira wa kikapu kati ya Houston Rockets vs Brooklyn Nets, Beyonce alionekana akiibia kutazama mumewe anafanya nini kwenye simu yake.

Kwa hali ya mahusiano ya wanandoa hao, huwezi kudhani kuwa Beyonce angeweza kumhofia mumewe kwa kiasi hicho lakini mambo ndo hayoo, mapenzi hayana mjanja. Hii sio mara ya kwanza kwa mwanadada kwa mrembo Bey kuchungulia baba wa Blue Ivy anafanya nini kwa simu, angalia na picha hii hapa:
0 comments:
Post a Comment