Picha: Za Jack Wolper Zawa Gumzo Mtandaoni Ambazo Akifanya Mazoezi!

Mwigizaji Jack Wolper ambae kwasaa anaonekana kuwa ‘Bonge’ ,hivi karibuni alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani, toka aanze mazoezi amekuwa akitupia picha mtandaoni akiwa mazoezini.
wolper6781
Mashabiki wake wengi walikuwa wakimpa moyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwani kweli anafanya mazoezi lakini lengo lake lingine ni kuonyesha watu tattoo zake alizojichora.
wolper6611
WOLPERR56
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment