Victoria Kimani amfuata Davido Nigeria

Davido & HKN Victoria Kimani 36NG

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Victoria Kimani amekwea pipa hadi nchini Nigeria na kula upepo wa bahari na mkali Davido katika beach moja huko jijini Lagos.
Davido ambaye alionekana kuongozana na jopo zima la HKN Gang  wakiwemo JoshBeatzSina RamboB_RedDanagogShizzi walionekana wakifurahia maisha kwa kubarizi beach huku mwimbaji wa Protoko akijumuika nao.
Picha zaidi nimezimimina hapa uweze kuburudisha macho yako mdau wangu wa ukweli:
Davido & HKN Victoria Kimani 36NG 8
Davido & HKN Victoria Kimani 36NG 2
Davido & HKN Victoria Kimani 36NG 6

Davido & HKN Victoria Kimani 36NG 7
Davido & HKN Victoria Kimani 36NG 3

Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment