Rapa wa Kundi la Weusi Lord Eyez ameeleza ujuo wa ngoma yake mpya
amesema hayo alipo ongea na Clouds Fm amefanya kazi na mpenzi wake wa
kitambo ambaye ni msanii
wa bongo fleva Ray C.

Lord Eyez amethibitisha kuwa wimbo umepewa jina ‘Matatizo’ na
umefanyika studio za Mandugu Digital na Producer Shaqee. Wimbo una stori
kuhusu mambo tofauti tunayopitia kwenye maisha.
0 comments:
Post a Comment