DAVIDO AWAPA ZA USO TEAM WEMA NA TEAM KIBA LIVE


Hii kali soma ka screenshot chini....

Imeandika "Tanzania Thanx 4 voting but i don want distabance in my acc plz vote Diamond not me Plz"
Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia Wema anayelilia mapenzi na Kiba anayetaka kupaa.
Watanzania hawa wamefikia kutia aibu nchi yetu kwa kuandika maneno ya ajabu na hata kutukanana humo humo. Wanamuomba pia mengi wakijua ni single man...aibuuuuuuuu
Amewajibu na kwa mie hata sishangai alichoandika, watu wanadhani wananchi wa nchi zingine ni wajinga kama wao.
Uwiiiiiii mmetia aibu ujumbe huo!
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment