Kim Kardashian aweka wazi kuwa ni mjamzito wa miezi mitano
Kim Kardashian, 34, aweka wazi kuwa ni mjamzito wa miezi mitano ikiwa ni mimba yake ya pili na ameongezeka kilo 9. Alitweet 'Kisirisiri nilikua napenda uvumi kwamba nilikua najifanya mjamzito kwasababu nilikua mwembamba sana! LOL Sasa hiv siwezi tena kuficha! Akatania na kusema,'miezi mitano (wiki 20) na zaidi ya kilo 9'. (20lbs ni sawa na kilo 9 na kidogo)

Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE