Shilole na Nuhu Mziwanda Waachana Rasmi..Shilole Abwatuka Haya 'Mwanaume Hata Umfanye nini Haridhiki'

Upande wa Pili huko kwa Kina Shilole na Nuhu Mzwanda Mambo si Shwari Jana Usiku wakati wengine tuko busy na Tuzo za MTV ..Mwanana Shilole Alipost Ujumbe Huu Ukiashiria yeye na Nuhu Mziwanda Mapenzi Basi Tena.....

Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment