Snoop Dogg awekwa chini ya ulinzi nchini Sweden kwa kudhani ana dawa za kulevya

Rapper Snoop Dogg wiki iliyopita aliwekwa chini ya ulinzi nchini Sweden baada ya polisi kudhani kuwa alikua na dawa za kulevya kwenye gari lake wakati akitoka kwenye moja ya tamasha nchini humo.
snoop
Snoop dogg amedai kuwa alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi ambapo alifanyiwa ukaguzi na vipimo mbali mbali lakini hakukutwa na hatia, Snoop alipost video kwenye mtandao wa Instagram kuelezea ilivyotokea,
 print
Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE