MO MUSIC ASHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’ NA KUACHIA NGOMA MPYA


Mo Music akifungua shampeni baada ya kubadilisha nguo alizoloweshwa alipomwagiwa maji.

Mo Music akimlisha keki mkali wa Bongo Fleva, Heri Samiry ‘Mr. Blue’ (kulia).
Mo Music akimlisha keki msanii wa muziki Bongo, Ally Timbulo (kulia).
Mo Music akimlisha keki msanii wa filamu Bongo anayejulika kwa jina la Muna.

Mo Music akilishwa keki na Rich Mavoko (kushoto).Msanii wa muziki Bongo Moshi Katemi ‘Mo Music’ akimwagiwa maji na msanii mwenzake, Rich Mavoko kushoto.
MSANII anayefanya poa kwenye ulimwengu wa muziki Bongo, Moshi Katemi ‘Mo Music’ jana aliandaa hafla fupi ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa (birthday) iliyofanyika maeneo ya Sinza- Palestina jijini Dar.
Mbali na kusherehekea birthday yake hiyo, Mo Music pia aliachia ngoma yake mpya kama zawadi aliyoipa jina la Skendo ambayo imeonekana kupokelewa kwa kishindo na mashabiki.
Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment