Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ally Maswanya akihutubia wakazi wa Geita mara baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga  ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana. 
Waziri wa Katiba na Sheria  Mhe. Harrison Mwakyembe akimkabidhi mtoto Agnes cheti cha kuzaliwa mara baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga  ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana. Waziri wa Katiba na Sheria  Mhe. Harrison Mwakyembe akizindua  mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri wa chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 kwa ajili ya kusajili vyeti vya kuzaliwa.Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana. 

Baadhi y wakina mama na watoto wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kujiandikisha.

Waziri wa Katiba na Sheria  Mhe. Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali na  wafanyakazi wa tigo,Unicef na RITA mara baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga  ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana. 

Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment