Diamond: Wimbo Wangu Mpya Haujatoka Rasmi Kuna Mtu Kauiba na Kuuweka Mtandaoni



Diamond
Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.
“Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified” Diamond
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: