TIMU ya Simba SC imekwenda sare ya mabao 2-2 na
Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyopigwa Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Simba yamefungwa na Shabani Kisiga na Amiss Tambwe huku ya Coastal Union yakiwekwa kimiani na Yayo Lutimba na Rama Salim.
Mabao ya Simba yamefungwa na Shabani Kisiga na Amiss Tambwe huku ya Coastal Union yakiwekwa kimiani na Yayo Lutimba na Rama Salim.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS)
0 comments:
Post a Comment