Audio: Sikiliza single hii kali kabla hujafunga mwaka


Katika kuuaga mwaka huu wa 2014, mwaka ambao umekuwa wa mafanikio makubwa kwa muziki wa Bongo Fleva, napenda kumleta kwako Furaha Magao a.k.a F Gao na single yake inayokwenda kwa jina la Siwadina.
F Gao ni mwanamuziki anayechipukia katika tasnia ya muziki wa Bongo na anahitaji support yako ili aweze kufika katika anga ya mafanikio.
Nimeitupia Siwadina hapa uweze kuisikiliza na kushare na wadau wa muziki:

Wimbo huu wa Siwadina ambao uko katika mahadhi ya AfroPop umerekodiwa katika studio ya Dofu Music iliyopo Arusha.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment