Audio: Trey Songz atoa zawadi ya Christmas kwa mashabiki wake

Trey-SongzMkali ambaye albam yake ya Trigga ni moja kati ya albam 10 bora za muziki kwa mwaka 2014, Tremaine Aldon Neverson maarufu kama Trey Songz amerudia wimbo wa Maria Carey "All I want for Christmas is you" kama zawadi kwa mashabiki wake.
Trigga amerudia muziki huo ambao uliimbwa miaka 20 iliyopita kama kuwaonesha mashabiki wake kuwa yuko pamoja nao katika kipindi hiki cha Christmas.
Nimekuwekea hapa wimbo huo iwe kama zawadi ya Christmas kwako shabiki wa Trigga na shabiki wa Harakati360.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment