HII HAPA KOLABO YA BRACKET NA DIAMOND PLATINUMZ

Baada ya mtanzania Diamond Platinumz kukomba tuzo tatu za Channel O siku za karibuni, headlines nyingi zilipamba vyombo vya habari kuwa kundi la muziki la nchini Nigeria liliomba kufanya naye kolabo.
.
Wakali hao wa Nana wameachia kazi hiyo inayokwenda kwa jina la Alive wakiwa pia wamemshirikisha mwimbaji bora wa kike wa Afrika mwanadada Tiwa Savage,
 Hujachelewa mdau wangu nimeitupia hapa audio, uisikilize halafu uteme dukuduku lako.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment