Picha: Diamond Platinumz aanika jumla ya tuzo zake katika picha moja

 
Baada ya kupata tuzo nne hivi karibuni kwa kushinda tatu katika tuzo za Chanel O na moja katika tuzo za huko Nigeria Diamond ameamua kubadilisha picha ya facebook kava yake na kuweka inayoonesha jumla ya tuzo zake.

Post by Diamond Platnumz.
Inafariji sana kuona mafanikio yako kwa macho, yaani kuanzia sifuri mpaka mia, hongera kwa wadau wote wenye juhudi katika kazi zao kama Diamond.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment