Michuano ya ligi ya Mabingwa barani Afrika mwaka 2015 imepangwa kuanza kuchezwa Februari 13 mwaka 2015.
Ratiba ya duru ya kwanza, mzunguko wa 16 wa fainali na mzunguko wa 8 ya michuano ya kifahari ya vilabu barani Afrika imepangwa ifuatavyo:

Duru ya kwanza
Mchuano wa kwanza : Mbabane Swallows (Swaziland) vs Zesco (Zambia)
Mchuano wa 2 : Séwé Sport (Côte d’Ivoire) vs AS Kaloum (Guinea)
Mchuano wa 3 : USM Alger (Algeria) vs Foullah Edifice (Chad)
Mchuano wa 4 : AS Pikine (Senegal) vs Etoile Filante Ouagadougou (Burkina Faso)
Mchuano wa 5 : Al Hilal (Sudan) vs Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (Zanzibar)
Mchuano wa 6 : Fomboni Club de Moheli (Comoro) vs Big Bullets (Malawi)
Mchuano wa 7 : CD Libolo (Angola) vs SM Sanga Balende (DR Congo)
Mchuano wa 8 : Kampala CC (Uganda) vs Cosmos de Bafia (Cameroon)
Mchuano wa 9 : Azam (Tanzania) vs Al Merreikh (Sudan)
Mchuano wa 10 : Lydia Ludic (Burundi) vs Kabuscorp (Angola)
Mchuano wa 11 Sony de Ela Nguema (Equatorial Guinea) vs Semassi Sokode (Togo)
Mchuano wa 12 : MC Eulma (Algeria) vs St. Georges (Ethiopia)
Mchuano wa 13 : East End Lions (Sierra Leone) vs Asante Kotoko (Ghana)
Mchuano wa 14 : Enyimba (Nigeria) vs Buffles du Borgou (Benin)
Mchuano wa 15 : Al Ahli Tripoli (Libya) vs Smouha (Misri)
Mchuano wa 16 : Gor Mahia (Kenya) vs Cnaps Sport (Madagascar)
Mchuano wa 17 : Liga D. Maputo (Msumbiji) vs APR (Rwanda)
Mchuano wa 18 : CO Bamako (Mali) vs Moghreb Tétouan (Morocco)
Mchuano wa 19 : Malakia (Sudan Kusini) vs Kano Pillars (Nigeria)
Mchuano wa 20 : Real de Banjul (Gambia) vs Barrack Young Controllers (Liberia)
Mchuano wa 21 : Kaizer Chiefs (Afrika Kusini) vs Township Rollers (Botswana)
Mchuano wa 22 : Raja Casablanca (Morocco) vs Diables Noirs (Congo)
Mchuano wa 23 : St. Michael United (Shelisheli) vs Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
Mchuano wa 24 : Mangasport (Gabon) vs Bantu (Lesotho)
Mchuano wa 25 : Stade Malien (Mali) vs AS Police (Niger)

Itafahamika kwamba mechi za mzunguko wa kwanza zitachezwa tarehe 13, 14 et 15 Februari, huku mechi za marudio zikuchezwa tarehe 27, 28 Februari na et Machi 1.
Timu ziliowekwa mwanzo zitacheza mechi ya mzunguko wa kwanza zikiwa nyumbani. Itakumbukwa kwamba ES Setif ya Algeria, Coton Sport Garua ya Cameroon, AC Leopards ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Al Ahly ya Misri, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, CS Sfaxien ya Tunisia na Hope Tunis ya Tunisia zilifuzu katika duru ya kwanza.
Mzunguko wa 16
Mchuano wa 26 : Mshindi wa mechi ya kwanza – Mshindi wa mechi ya 2
Mchuano wa 27 : Mshindi wa mechi ya 3 – Mshindi wa mechi ya 4
Mchuano wa 28 : Mshindi wa mechi ya 5 – Mshindi wa mechi ya 6
Mchuano wa 29 : Coton Sport Garua (Cameroon) - Mshindi wa mechi ya 7
Mchuano wa 30 : Mshindi wa mechi ya 8 – Espérance Tunis (Tunisia)
Mchuano wa 31 : Mshindi wa mechi ya 9 – Mshindi wa mechi ya 10
Mchuano wa 32 : Mshindi wa mechi ya 11 – CS Sfaxien (Tunisia)
Mchuano wa 33 : Mshindi wa mechi ya 12 – Mshindi wa mechi ya 13
Mchuano wa 34 : Mshindi wa mechi ya 14 – Mshindi wa mechi ya 15
Mchuano wa 35 : Mshindi wa mechi ya 16 – AC Léopards (Congo)
Mchuano wa 36 : Mshindi wa mechi ya 17 – Al Ahly (Misri)
Mchuano wa 37 : Mshindi wa mechi ya 18 – Mshindi wa mechi ya 19
Mchuano wa 38 : Mshindi wa mechi ya 20 – ES Sétif (Algéria)
Mchuano wa 39 : Mshindi wa mechi ya 21 – Mshindi wa mechi ya 22
Mchuano wa 40 : Mshindi wa mechi ya 23 – TP Mazembe (DR Congo)
Mchuano wa 41 : Mshindi wa mechi ya 24 – Mshindi wa mechi ya 25

Itakumbukwa kwamba mechi za mzunguko wa kwanza zitachezwa tarehe 13, 14 na 15 Machi, huku mechi za marudio zikichezwa tarehe 3, 4 na 5 Aprili. Timu ziliowekwa mwanzo zitachezea nyumbani mechi za mzunguko wa kwanza.
Mzunguko wa 8
Mchuano wa 42 : Mshindi wa mechi ya 27 – Mshindi wa mechi ya 26
Mchuano wa 43 : Mshindi wa mechi ya 29 – Mshindi wa mechi ya 28
Mchuano wa 44 : Mshindi wa mechi ya 31 – Mshindi wa mechi ya 30
Mchuano wa 45 : Mshindi wa mechi ya – Mshindi wa mechi ya 32
Mchuano wa 46 : Mshindi wa mechi ya 35 – Mshindi wa mechi ya 34
Mchuano wa 47 : Mshindi wa mechi ya 37 – Mshindi wa mechi ya 36
Mchuano wa 48 : Mshindi wa mechi ya 39 – Mshindi wa mechi ya 38
Mchuano wa 49 : Mshindi wa mechi ya 41 – Mshindi wa mechi ya 40

Itakumbukwa kwamba mechi za mzunguko wa kwanza zitachezwa tarehe 17, 18 na 19 Aprili. Mechi za marudio zitachezwa tarehe 1, 2 na 3 Mei. Timu ziliowekwa mwanzo zitacheza mechi za mzunguko wa kwanza zikiwa nyumbani. Timu zitakazofuzu zitashiriki katika hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne). Vilabu vitakavyoondolewa vitatajumuishwa katika Kombe la Shirikisho.
- via RFI Kiswahili
About EDITOR
0 comments:
Post a Comment