Drake na ‘Suprise’ ya album yake mpya

rammy Drake ameamua kuiga style ya Beyonce ya bila kutangaza kutoa albamu kwa kuachia albamu yake mpya yenye nyimbo 17 kwa kuwashtukiza mashabiki wake.
the
Drake alitoa albamu yake hiyo inayoitwa ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ jana Alhamisi kwa kuipost kwenye Twitter ambayo amewashirikisha mastaa mbalimbali kama Lily Wyne, Travi$ Scott na PartyNextDoor,
Drake ameendelea kufanya vizuri ambapo katika albamu yake iliyopita ya ‘Nothing Was the Same’ aliweza kufanya vizuri na kushika nafasi ya kwanza katika billboard mwaka 2013 na kufanikiwa kuuza kopi 658,000 katika wiki ya kwanza tu.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment