Happy birthday Kelly Rowland
Kelendria Trene "Kelly" Rowland ni mwanamuziki ambaye alianza kufanya rasmi shughuli za muziki katika kundi la Destiny's Child. Mbali na muziki, Kelly pia ni muigizaji, mwandishi wa nyimbo, na mtangazaji wa TV.
Kelly Rowland ametimiza miaka 34 tangu azaliwe Februari 11, 1981. Kwa sasa Kelly ni mama wa mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Titan Jewell na jana alionekana akikata mitaa ya Los Angeles akiwa na mwanaye huyo.
Kelly ametamba na hits kama Dilema ambao alifanya na Nelly na single nyingine ni Stole.
Harakati360 inamtakia heri ya siku ya kuzaliwa Kelly Rowland.
0 comments:
Post a Comment