HII HAPA KOLABO NYINGINE YA NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATINUMZ

 Wasanii waliofanya wimbo wao wa Muziki Gani wamekutana tena studio kwaajili ya rekodi nyinine. Ni Diamond na Nay wa Mitego. Diamond kwa sasa anang’ara na rekodi ya Ntampata wapi ambayo inapewa muda mkubwa wa hewani kwenye vitui vya kimataifa ka Trace Tv huku Nay akifanya vizuri na rekodi na video ya Akadumba

Tudd Thomas ndiye producer atakaye simamia kazi mpya ya wasanii Diamond Platnumz na Nay wa Mitego, Wimbo utafanyika Surround Studios.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment