Jibu la Kim Kardashian kuhusu watu anaotaka kupiga nao SELFIE, utashangaa.



640_kim_kardashian_marilyn
Kim k ambaye ni mke wa rapa Kanye West ni miongoni mwa mastaa wenye vitabu ni hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake cha picha za SELFIE.
Kwenye kujibu maswali machache ya mashabikki wake Kim K aliulizwa kama angepata nafasi ya kuchagua mtu tofauti wa kupiga naye Selfie Kim alijibu
My Dad, or Jesus, or Marilyn Monroe, siwezi kuamua ”
kim k


Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment