Picha kutoka nyumbani kwa wazazi wa marehemu Mez B mahali ulipo msiba.


.
.
Asubuhi ya February 20, 2015 Tanzania zilianza kusambaa taarifa za msiba wa aliyewahi kuwa member wa kundi la Chamber Squad Mez B, taarifa hizo zilithibitishwa kwenye vyombo vya habari na dada wa marehemu Rachel.
Msiba upo eneo la Kisa Dodoma,  endelea kuwa karibu na millardayo.com ili kujua taratibu za msiba huu zikoje ikiwa ni pamoja na siku ya Mazishi.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
                                      PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment